BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
- Thread starter
- #41
Jamani mkuu usimwambie hivyo huyu mwenzetu,mbona wewe hauko huko mashambani ukilima?,Tumusaidieni huyu ndugu yetu,anahitaji sana msaada wetu
Jephta2003
Ubarikiwe kwa busara zako, mimi mwenyewe kwetu ni mkulima na ninajivunia. Ni kuliacha hilo kama lilivyo la huyo bwana SOA.
Ukisikia chochote kuhusu kazi ya uhasibu tushtuane kupitia hii thread, huyu ni rafiki yangu mpendwa na tunasaidiana kusukuma maisha.
Asante..