Jephta2003
Ubarikiwe kwa busara zako, mimi mwenyewe kwetu ni mkulima na ninajivunia. Ni kuliacha hilo kama lilivyo la huyo bwana SOA.
Ukisikia chochote kuhusu kazi ya uhasibu tushtuane kupitia hii thread, huyu ni rafiki yangu mpendwa na tunasaidiana kusukuma maisha.
Asante..
August_Shao
Yaani umekaa miaka minne hujapata ajira au sijakuelewa vizuri? Na wewe ulijituma kutafuta kazi kwa nguvu zote?
Sasa kipindi hicho chote ulikuwa unafanya nini? yaani kama hukufanikiwa kazi? Kweli pole sana,nimesikitika na kweli umesota ndugu yangu. Je mpaka sasa hujapata kazi?
Asante!