Kazi JWTZ

Kazi JWTZ

kagarara

Senior Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
118
Reaction score
9
Wadau wa jf naomba sana siku zitakapotangazwa nafasi za kujiunga JWTZ atakayepata data anijuze. Mm niko vjjn sana hvyo siwezi pata magazeti, na access ya internet ni ya kuazima tena kwa shida sana.
 
Mbona nlickia mwez huu wanatoa..
 
Ni kazi za proffesionals au kuomba ujeda?
 
hbr ktk ndani ya jeshi nimejulishwa kuwa sasa hv wamemaliza mchakato wa kusail form vi science weny div 3,na wameshasambzwa nchi tatu kwa mafunzo.Muda huu wanatarajia kusaili digrii na diploma.then waende Afsa kadeti.ila mpaka walio phase 2 wa wamalize mwezi wa kumi 2,wakimaliza ndani huko watalipua za Nje.
 
Mi mwenyewe nasikilizaia tutajuzana wakuu...
 
hbr ktk ndani ya jeshi nimejulishwa kuwa sasa hv wamemaliza mchakato wa kusail form vi science weny div 3,na wameshasambzwa nchi tatu kwa mafunzo.Muda huu wanatarajia kusaili digrii na diploma.then waende Afsa kadeti.ila mpaka walio phase 2 wa wamalize mwezi wa kumi 2,wakimaliza ndani huko watalipua za Nje.

nashukuru mkuu kwa taharifa, naomba uendelee kunijuza mkuu.
 
hbr ktk ndani ya jeshi nimejulishwa kuwa sasa hv wamemaliza mchakato wa kusail form vi science weny div 3,na wameshasambzwa nchi tatu kwa mafunzo.Muda huu wanatarajia kusaili digrii na diploma.then waende Afsa kadeti.ila mpaka walio phase 2 wa wamalize mwezi wa kumi 2,wakimaliza ndani huko watalipua za Nje.

cjakuelewa.
 
mhhhhhhhhhh! yaani magereza niliogopa, nyie ndo mnaulizia jwtz, kweli ukiona cha nini wenzio wanajiuliza watakipata lini, mwee!
 
poa kaka wote tunaosubiri nafasi za JWTZ wadau tujulishane but nyepesi nilizo pata professional usahili mwezi wa 2
 
Back
Top Bottom