JOB VACANCY..
Je, unatafuta ajira nzuri
inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/
= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa
8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/=
kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu
hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya
kuishi upo.
Requirements..
1.Cheti cha form 4 na
form 6 {CSEE & ACSEE}
2.Elimu ya chuo. {Diploma
au Bachelor degree}.
3.Hakuna uzoefu
unaohitajika.
4.Umri chini ya miaka 45.
Kama unahitaji hiyo kazi,
basi usijali.
Njoo ungana na mimi
tuanze kuitafuta manake
hata mimi ninatafuta
kazi hiyo.
JOB VACANCY..
Je, unatafuta ajira nzuri
inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/
= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa
8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/=
kwa mwezi.
4.Siku za kazi jumatatu
hadi ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya
kuishi upo.
Requirements..
1.Cheti cha form 4 na
form 6 {CSEE & ACSEE}
2.Elimu ya chuo. {Diploma
au Bachelor degree}.
3.Hakuna uzoefu
unaohitajika.
4.Umri chini ya miaka 45.
Kama unahitaji hiyo kazi,
basi usijali.
Njoo ungana na mimi
tuanze kuitafuta manake
hata mimi ninatafuta
kazi hiyo.