sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Kijana yupo.Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Sawa mkuu karibuSawa Sizonje.
Mwambie atume tuKijana yupo.
Je atume maombi wapi na kazi hiyo itafanyika wapi?
Uko makini mkuuMwezi huu una siku 28 tu, hizo nyingine za kwako ndotoni labda[emoji51]
Wawasikiane na muhusika hapo juuKuingiza vp kwa kutumia excel au database au wap... Vijana wapo watume maombi wapi?
Kwa maelezo zaid ni pmKama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Mkuu ni tarehe 29, 30, 31 mwezi huu karibuTarehe ngapi vilee??? [emoji16][emoji16]
ndiooUko makini mkuu
Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Kwa maelezo zaid ni pm
Mjomba mbona umeongea kwa machungu mvua inayokunyeshea mpaka huku imefika mjombaMjomba, kwa nini unadhihaki watu? Mungu aliyekupa wewe, ndiye aliyetuumba sote.