Kazi kazi kazi

Kazi kazi kazi

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
1,053
Reaction score
1,304
Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Kwa maelezo zaid ni pm
 
Kijana yupo.

Je atume maombi wapi na kazi hiyo itafanyika wapi?
 
Kuingiza vp kwa kutumia excel au database au wap... Vijana wapo watume maombi wapi?
 
Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Kwa maelezo zaid ni pm
 
Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu
Kwa maelezo zaid ni pm

Mjomba, kwa nini unadhihaki watu? Mungu aliyekupa wewe, ndiye aliyetuumba sote.
 
Back
Top Bottom