Kazi kuu za Jeshi la Wananchi ni mbili tu kulinda mipaka ya nchi na kulinda Katiba

Unalinda Katiba halafu mnufaika anakuja kuiita ni kijitabu tu!!!😁

Bunge limeshavunjwa na mtu hawezi kuwa Waziri pasi kuwa mbunge ila bado tuna mawaziri ofisini.How!!

Noma sana. Inasikitisha sana
 
Tunataka wazalendo ndani ya Jeshi letu. Hatutaki wanajeshi "maokoto"
 
Chadema mlisusia uchaguzi,sasa mnatapatapa
 
Majukumu ya JWTZ yapo 6 kisheria sheria ya ulizi wa Taifa sura 192

1. Kulinda uhuru na mipaka
2.kuhifadhi amani na usalama
3.kutoa misaada kwa vyombo vya usalama vya ndani
4.kushiriki katila kulinda amani kimataifa
5. Kuhudumia na kutoa misaada kwa jamii
6.kutekeleza maelekezo ya Rais

Hapo nilikuwa nakuongezea tu, si kwaubaya
 
Nimesikitishwa sana na Taarifa kuwa Wanajeshi wanasombwa na magari kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya CCM na kuvalishwa nguo za kiraia kama wana CCM washiriki. Hii kwa kweki siyo kazi ya jeshi!
Tanzanian 😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…