Kazi kwa fundi nguo, yaani mshonaji nguo

Kazi kwa fundi nguo, yaani mshonaji nguo

John Elia

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
87
Reaction score
96
Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33

Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi

Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya.

Ashone nguo za kiume na kike kama hajui zingne awe tayari kujifunza.

Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu yaani miaka mingi

Awe tayari kusafiri kufuata material
Na mashine
AWE tayari kufanya kazi na wenzake
Awe na ubunifu na Lugha nzuri kwa wateja
Mawasiliano 0764125128 muda wa kazi
 
Kazi ni ipi sasa....?maana utayari alishakua nao ndio maana ni fundi... kwaiyo eleza kazi yako.
 
Back
Top Bottom