Nimekaa mgahawani nawasikia vijana wanatongozana. Mwisho msichana kamwambia mvulana, sina simu ukitaka kanunue smartphone tena sio Tecno weka vocha na save namba yako tu niletee uone kama sitakupigia! Kijana anachekacheka tu...nasubiri aondoke nichukue hatua