Kazi kweli kweli

Kazi kweli kweli

tempid

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,053
Reaction score
1,657
Nimekaa mgahawani nawasikia vijana wanatongozana. Mwisho msichana kamwambia mvulana, sina simu ukitaka kanunue smartphone tena sio Tecno weka vocha na save namba yako tu niletee uone kama sitakupigia! Kijana anachekacheka tu...nasubiri aondoke nichukue hatua
 
Kimasihara hivi hivi mi nishahongaga Nokia ya tochi. Mpaka Leo sijapigiwa na ile namba kila siku ipo busy.
Nani anatumia charger ya pin ndogo.........?????
 
Wee unazo sim mbili au na wewe utacheka cheka zam yako
Nimekaa mgahawani nawasikia vijana wanatongozana. Mwisho msichana kamwambia mvulana, sina simu ukitaka kanunue smartphone tena sio Tecno weka vocha na save namba yako tu niletee uone kama sitakupigia! Kijana anachekacheka tu...nasubiri aondoke nichukue hatua
 
Kimasihara hivi hivi mi nishahongaga Nokia ya tochi. Mpaka Leo sijapigiwa na ile namba kila siku ipo busy.
Nani anatumia charger ya pin ndogo.........?????
Na wewe uliambiwa ununue simu?
 
Back
Top Bottom