Simiyu....mkoa gani huo.
Kwanini?Hyo na uhakika ni mkoani sio darisalama kwa wajanja
Ndio mbinu zenu?Hahaha,Ni kwamba hamtaki,akufukuzaye hakuambii toka.
Ukinunua hio simu bado atakukataa?Hahahahhahah Duuuh Hatar Ukiona Ivo Ondoka Hutakiwiii
Huyo Ujue anapenda Pochii NeneUkinunua hio simu bado atakukataa?
wanaume tunapitia mitihani migumu.Hahaha,Ni kwamba hamtaki,akufukuzaye hakuambii toka.
Nimekaa mgahawani nawasikia vijana wanatongozana. Mwisho msichana kamwambia mvulana, sina simu ukitaka kanunue smartphone tena sio Tecno weka vocha na save namba yako tu niletee uone kama sitakupigia! Kijana anachekacheka tu...nasubiri aondoke nichukue hatua
Na wewe uliambiwa ununue simu?Kimasihara hivi hivi mi nishahongaga Nokia ya tochi. Mpaka Leo sijapigiwa na ile namba kila siku ipo busy.
Nani anatumia charger ya pin ndogo.........?????
Ninazo Ila nimefanikiwa kuondoka nazo zoteWee unazo sim mbili au na wewe utacheka cheka zam yako