Kazi kweli kweli

Ndio mbinu zenu?
Asa apo unageneralize mkuu. Me nimeweza tuu kumuelewa mdada. Hata mi ningekua na uwezo wa kufanya ivo ningekua natoa tuu majibu ka hayo ya utumbo,bas tuu siwezi, you have to think about others.
 
Asa apo unageneralize mkuu. Me nimeweza tuu kumuelewa mdada. Hata mi ningekua na uwezo wa kufanya ivo ningekua natoa tuu majibu ka hayo ya utumbo,bas tuu siwezi, you have to think about others.
Umeona alama ya kuuliza? Lilikuwa swali.
 
Ukinunua hio simu bado atakukataa?
Kama mwanaumwe ana akili timamu hawezi kununua hyo sim,labda ka anazo hela zimekaa tuu chini ya kitanda zinasubiri kutumiwa...
Ukiona umenunua hiyo sim jua request ya gari linakuja sasa. Hapo ndo utajua hana time.
 
Kwa mwanaume anajua hapo ni kuibiwa, lakini mvulana atakimbia dukani akanunue simu kuonesha upendo kumbe hapendwi mtu ni mkwanja tu. Haiwezrkana dada ambae anakufeel atamke hayo. Anakubali, anakupa mzigo, ugumu wa wewe kumpata unapomhitaji ndo ungeona umuhimu wa kumnunulia simu. Siyo apange masharti wakati hata blauzi hajavua.
 
Nimekusoma
 
ila kiukweli huwa hatupendi Ile Big NO. yaani demu kukuambia sikutaki inaumiza sana.
Hahahah,poleni sana. Ndo uanaume.
Sometime hamuelewagi mtu akisema hataki,inabidi akukimbize kigaidi zaidi. Faster unaachia ngazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…