wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kwa hiyo mkubwa na wewe umemshindwa
Ninazo Ila nimefanikiwa kuondoka nazo zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazo Ila nimefanikiwa kuondoka nazo zote
Simu yangu ina thamani sanaKwa hiyo mkubwa na wewe umemshindwa
alisema hana simu nikampa simu yangu ndogo baada ya siku mbili tatu. Nikaanza kuona namba bize
Na wewe uliambiwa ununue simu?
Asa apo unageneralize mkuu. Me nimeweza tuu kumuelewa mdada. Hata mi ningekua na uwezo wa kufanya ivo ningekua natoa tuu majibu ka hayo ya utumbo,bas tuu siwezi, you have to think about others.Ndio mbinu zenu?
Umeona alama ya kuuliza? Lilikuwa swali.Asa apo unageneralize mkuu. Me nimeweza tuu kumuelewa mdada. Hata mi ningekua na uwezo wa kufanya ivo ningekua natoa tuu majibu ka hayo ya utumbo,bas tuu siwezi, you have to think about others.
Kama mwanaumwe ana akili timamu hawezi kununua hyo sim,labda ka anazo hela zimekaa tuu chini ya kitanda zinasubiri kutumiwa...Ukinunua hio simu bado atakukataa?
Hahahah,poleni sana. Ndo uanaume.wanaume tunapitia mitihani migumu.
Atapokea simu na anatupa laini yako. Utampataje?Ukinunua hio simu bado atakukataa?
Akiwa na mpododo ana haki ya kukataa Tecno?Huyo mbuni anakataa tecno ana mpododo??
Ohoo,sawa.nimeona ni swali.Umeona alama ya kuuliza? Lilikuwa swali.
Huu ni mtegoAtapokea simu na anatupa laini yako. Utampataje?
Yeah nimekusomaOhoo,sawa.nimeona ni swali.
Ila somehow umepata jibu la swali lako kwa hiyo reply.
Mwanaume hapo si kazi, ila kwa mvulana kazi kwelikweli.Huu ni mtego
Akufukuzae hakwambii tokaHahahah,poleni sana. Ndo uanaume.
Sometime hamuelewagi mtu akisema hataki,inabidi akukimbize kigaidi zaidi. Faster unaachia ngazi.
Kwanini?Mwanaume hapo si kazi, ila kwa mvulana kazi kwelikweli.
Kwa mwanaume anajua hapo ni kuibiwa, lakini mvulana atakimbia dukani akanunue simu kuonesha upendo kumbe hapendwi mtu ni mkwanja tu. Haiwezrkana dada ambae anakufeel atamke hayo. Anakubali, anakupa mzigo, ugumu wa wewe kumpata unapomhitaji ndo ungeona umuhimu wa kumnunulia simu. Siyo apange masharti wakati hata blauzi hajavua.Kwanini?
NimekusomaKwa mwanaume anajua hapo ni kuibiwa, lakini mvulana atakimbia dukani akanunue simu kuonesha upendo kumbe hapendwi mtu ni mkwanja tu. Haiwezrkana dada ambae anakufeel atamke hayo. Anakubali, anakupa mzigo, ugumu wa wewe kumpata unapomhitaji ndo ungeona umuhimu wa kumnunulia simu. Siyo apange masharti wakati hata blauzi hajavua.
Akiwa na mpododo ana haki ya kukataa Tecno?
ila kiukweli huwa hatupendi Ile Big NO. yaani demu kukuambia sikutaki inaumiza sana.
Hahahah,poleni sana. Ndo uanaume.
Sometime hamuelewagi mtu akisema hataki,inabidi akukimbize kigaidi zaidi. Faster unaachia ngazi.