Kazi kwenu kutema mapovu madunduka

Kazi kwenu kutema mapovu madunduka

dem boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
6,580
Reaction score
15,739
339099581_252847347078459_7987797060603982288_n.jpg

"Waliofuzu CAFCL wanamuona Simba ndio Underdog wao na ukiangalia karibia wote wameshacheza Fainali lakini pia uwekezaji wao ni mkubwa kuizidi Simba, hii inanifanya niamini kwamba wote wanamtamani Simba "- @edgarkibwana

Wanasimba mnasemaje?

#SportsXtra
#CloudsDigitalUpates
 
Huyu pamoja na mwenzake Shaffih hili neno underdog wanalipenda sanaa kulitumia kwa Simba.

Bahati mbaya sana siku zote inawaaibisha. Niliacha kusikiliza Mawingu Fm kwa sababu za kinazi na chuki za wazi za Kibwana kwa SSC.
 
Back
Top Bottom