dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
"Waliofuzu CAFCL wanamuona Simba ndio Underdog wao na ukiangalia karibia wote wameshacheza Fainali lakini pia uwekezaji wao ni mkubwa kuizidi Simba, hii inanifanya niamini kwamba wote wanamtamani Simba "- @edgarkibwana
Wanasimba mnasemaje?
#SportsXtra
#CloudsDigitalUpates