"Waliofuzu CAFCL wanamuona Simba ndio Underdog wao na ukiangalia karibia wote wameshacheza Fainali lakini pia uwekezaji wao ni mkubwa kuizidi Simba, hii inanifanya niamini kwamba wote wanamtamani Simba "- @edgarkibwana
View attachment 2576083
"Waliofuzu CAFCL wanamuona Simba ndio Underdog wao na ukiangalia karibia wote wameshacheza Fainali lakini pia uwekezaji wao ni mkubwa kuizidi Simba , hii inanifanya niamini kwamba wote wanamtamani Simba "- @edgarkibwana