Uzi unajieleza mkuu labda kama hujasoma mpaka mwisho.Mbona sikuelewi unaulizia kazi au tender
Saidia fundi mkuuDar ukiona vijana wamebeba vibegi mgongoni usidhani wote wanafanya kazi kwenye viyoyozi. Wengine ni fundi wajenzi wanazunguka kusaka kazi kwenye site mbalimbali. Anachotakiwa kujua ni wapi kuna site mpya ya ujenzi, anajihimu anawahi kuongea na fundi mkuu kabla kazi hazijaanza. Akiambiwa timu imekamilika anasogea mbele. Hali inakuwa hivyo had I siku atakapopata gap. Hivyo vibegi vinakuwa vimebeba viyendea kazi, akipewa kazi hatakiwi kusema naomba mwiko au pimamaji.
Wewe ni fundi wa nini?
Aloo kumbeMara nying ukisikia kuna mrad utaaza mwezi flan aza kusogea karibu ..japo kuna wakuda huuza kazi mirad kama hiyooo unskilled labor huji kusikia vacancy boss jiongezee
Dah!kuna jamaa wanajenga hapa karibu na mtaani kwangu goba ni bonge la fensi krbia heka1 mitofali kama yote...ukijiwah utapata kazi ila ile mikazi migumu sana km hujazoea.Wakuu mwema.
Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza.
Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua).
Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna matangazo huwa wanatoa? Wanayatoa kupitia wapi, kuna wale wanaochimbaga mitaro kwenye hiyo miradi wanapataje hizo nafasi??
Kwa anaejua huwa wanapataje hizo kazi atujuze wakuu.
Nimefika mjini hali si hali.
Connection tu mkuuWakuu mwema.