mimi nina uwezo huo ila ni kijana wa kiume.je stakiwi?
Ni kweli kwenye kjazi hizi wanaume ni tatizo sana.Full kuhonga na full majukum.Kuhusu kwanin msichana , kwa uzoefu wa hii Kazi, maana ipo tangu 2012, wasichana wamefanya vizur na ni waaminifu, kuliko wanaume , imeshatokea Mara mbili kwa vijana wa kiume kujikopesha hela ya mtaji bila mm kujua , coz of busy na mambo mengine , nikaja kujua lakin walishindwa kuirudisha so nikawaachisha Kazi.....,
Na prefer wasichana na wawe na hiyo age hapo juu...
Ni kweli kwenye kjazi hizi wanaume ni tatizo sana.Full kuhonga na full majukum.
Madem zake woote wataishia hapo na hawakawii kusema ni Ofisi zao.
Kuna jamaa huku alipewa sehem kama hiyo basi kwa misifa eti na yeye akawa anakuja na dem wake ofisini na siku nyingine anamuachia yeye na kumuambia bosi wake yule ni dada yake.Kumbe dem wake.
Siku moja mdada alistukia issue akapiga akasepa.
Nakuuunga mguu ee mkono,tafuta mwanamke ni waaminifu sana kwenye kazi hizi.Na pia wananidham ya matumizi yao ya pesa binafsi na wengi wanaridhika na wanachokipata
Ladyisa mwanaume!!?