Kazi - msichana wa kufanya Kazi Za uwakala tigopesa/mpesa

Home

Senior Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
136
Reaction score
28
Hello all,

Kichwa cha habari kinahusika,
Anatafutwa msichana wa kufanya hizo Kazi .
Eneo ; Ilala karume , Dar
Muda ; saa 2 asubuh hadi 12 jion
Umri ; kuanzia 18 - 23
Mshahara na mengineyo, pls PM

Shukran
 
mimi nina uwezo huo ila ni kijana wa kiume.je stakiwi?
 
Wanaume tupo mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Taarifa muhimu:

1. Kiwango cha malipo kwz mwezi weka wazi ni sh?..........
2. Gharama za nauli ikiwa atatokea kwao unazoweza kumudu?..........
3. Huduma ya chakula akiwa ofisini anagharamiwaje?..................
4. Usalama na ulinzi wake utasimamiwaje!?....................
5. Ungeweka namba yako ya simu coz hizo PM ni mpaka uwe online kwahiyo respionse ni negative...................


Ni ushauri tu!
 
Kwa nini msichana tu au unatafuta mke?
 
Naomba uni PM Nina ndugu yangu anaweza mambo hayo Home
 
Last edited by a moderator:
Naul juu yangu, ila natoa 1000 kwa siku, kwa siku 6 kwa week, na ni vyema akipanda Gari moja awe amefika karume ,
jumapil na sikukuu hatufungui, salary ni mpaka Mtu awe ametimiza vigezo hapo juu ndio tutaongea nae...
 
Kuhusu kwanin msichana , kwa uzoefu wa hii Kazi, maana ipo tangu 2012, wasichana wamefanya vizur na ni waaminifu, kuliko wanaume , imeshatokea Mara mbili kwa vijana wa kiume kujikopesha hela ya mtaji bila mm kujua , coz of busy na mambo mengine , nikaja kujua lakin walishindwa kuirudisha so nikawaachisha Kazi.....,
Na prefer wasichana na wawe na hiyo age hapo juu...
 
Na suala la Chakula ni juu yake .....
 
hapa jua anatafutwa mke cio msichana wa kazi tena
 
Ni kweli kwenye kjazi hizi wanaume ni tatizo sana.Full kuhonga na full majukum.
Madem zake woote wataishia hapo na hawakawii kusema ni Ofisi zao.
Kuna jamaa huku alipewa sehem kama hiyo basi kwa misifa eti na yeye akawa anakuja na dem wake ofisini na siku nyingine anamuachia yeye na kumuambia bosi wake yule ni dada yake.Kumbe dem wake.
Siku moja mdada alistukia issue akapiga akasepa.

Nakuuunga mguu ee mkono,tafuta mwanamke ni waaminifu sana kwenye kazi hizi.Na pia wananidham ya matumizi yao ya pesa binafsi na wengi wanaridhika na wanachokipata
 

Rahsisha maelezo Salafi, wanawake wana vyanzo vingi vya pesa hivyo ni ngumu kukabwa na shida za elfu ishiriniishirini akakosa wa kumsaidia!
 
Atakuwa ni wale wa Mombasa au huku kwetu Pwani.
Maana wapo wengi tu sana majina hayo,msistuke sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…