Kazi na biashara gani umeshuhudia au unaona zinaenda kupotea?

Kazi na biashara gani umeshuhudia au unaona zinaenda kupotea?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Miaka inabadilika. Kazi zinazaliwa na kufa. Kazi na biashara gani umeshuhudia zimekufa au zinaenda kufa.

1. Uagent wa mabasi. Makampuni mengi yamekuja na ishu ya kukata tiketi online. Maagent wako hoi sana. Taaluma yao inaenda kufa.

2. Wauza magazeti na chaini yote kuanzia uchapaji. Hali imekuwa mgumu sana kwa hawa jamaa. Watu habari zote za kuwa habari wanazipata kwenye simu.

3. . . .
 
Back
Top Bottom