Proporis
Member
- Jul 22, 2022
- 12
- 7
Hi JFs'.
kumekuwa na kasumba ya watu au kuwa na hadhi katika jamii kwa sababu ya kazi wanazo zifanya hasa kutokana na elimu waliyo nayo. Kwa mfano daktari ataheshimika tu kwa sababu ni daktari ata kama hatibu wala hana kituo cha kutolea uduma. Rubani anapewa hadhi fulani ata kama hana ajira. Mhasibu ata kama maisha yamempiga lakini bado status yake inambeba.
Je, unapomshauri mtu uzingatie kumshauri asomee kitu kitakacho mpa kazi itakayompa kipato, kazi itakayo mpa hadhi au kazi itakayo mpa vyote??