Kazi na MAGODORO ya MABOSI

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
Sisi tunaofanya kazi chini ya mtu fulani (boss) mwanaume tunakuwa hatarini sana hasa kama boss anagodoro lake hapo. Akikuona unamazoea nae (godoro lake) basi visa havikosi, memo usiseme na hata kufukuzwa kazi muda mwingine.

Tufanyeje kuepukana na hilo?
 
Usizoeane na godoro lake kabisaa. Tena nimeshakujua kaa mbali na huyo mtoto
 
Naihunga mkono hoja ya Mess, kaa mbali na mali za wakubwa, utapoteza ajira!
 
aaisee kweli wanawake majina tunatungiwa.... Tushakua godoro??

umeona eeh?!! mie mwanzo sikuelewa kuwa amemaanisha hivyo, dah!

kwa hiyo hili godoro la bosi ofiisini huwa analilalia saa ngapi na nyie mnaolizoea mnalizoeaje?
Au mnaingia kwenye chumba cha kupumzikia bosi bila ruhusa?
 
sisi tunaofanya kazi chi ya mtu fulani (boss) mwanaume tunakuwa hatarini sana hasa kama boss anagodoro lake hapo. akikuona unamazoea nae(godoro lake) basi visa havikosi, memo usiseme na hata kufukuzwa kazi muda mwingine. Tufanyeje kuepukana na hilo?

Ebu jaribu kutumia jina lingine tafadhari kiongozi naona kama hili haliwapendez hawa dadazetu,NIOMBI LAKINI
 
kha! ww ndo umefanya nirudie kusoma upya. hapa najiandaa kumjibu najua anaongelea matress,manake nshaingia kwa mkurugenzi wa kiwanda mhindi, jamaa ana godoro sakafuni kwenye kona anasema akishakula anafunga mlango anapiga mbonji 1 hr. sasa kumbe anaongelewa biological matress? kazi ipo!
aaisee kweli wanawake majina tunatungiwa.... Tushakua godoro??
 
....anaweza kua hana interest kabisa ya kimapenzi isipokua anajua fika kua mapenzi na kazi ni sumu yakiruhusiwa sehemu ya kazi! nionavo mimi ...
 
aaisee kweli wanawake majina tunatungiwa.... Tushakua godoro??
Shikamoo dada mkubwa,yani mie leo sina hata raha kila jamvi ninaloingia mwanamke hivi mwanamke vile kila siku majina kibao,
Asa wale baboss wa kike magodoro yao(wale wanaume ambao ni wapenzi wao hapo kazin) wanaitwaje?
 
mbona sisi twitwa mabuzi, ATM, mlugaluga na mengine mengi tu wewe zipotezee tu
 
aaisee kweli wanawake majina tunatungiwa.... Tushakua godoro??


kuna uhusiano mkubwa kati ya mawazo yetu , maneno ya vinywa vyetu na pia matendo yetu. usishangae, unachotakiwa ni kuthibitisha kuwa mtu kama huyu anapo pigwa memo, ni kwa haki kabisa. amekosa lugha nyingine hata akasema "magodoro".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…