Wapo kwa wagangaWakati kipindi cha likizo huyo Gomez yuko kwao akimtumikia Mungu na kufurahi pamoja na familia yake, wachezaji wa kiafrika (hususani kibongo) kipindi hichi cha Likizo wako busy kunywa pombe, kusaka mademu na kupigana misumari.
Wakati kipindi cha likizo huyo Gomez yuko kwao akimtumikia Mungu na kufurahi pamoja na familia yake, wachezaji wa kiafrika (hususani kibongo) kipindi hichi cha Likizo wako busy kunywa pombe, kusaka mademu na kupigana misumari.
Wabrazil wengi walokole lokole..nimemkumbuka mshambuliaji Kaka
Safi...πππππΌππ ππΌ ππΌππΌ ππΏ
Nyota wa Klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomes π§π· amekuwa akitumia mda huu wa Likizo kutoa mafundisho/mahubiri ya kidini kwenye mikutano mbalimbali ya kidini huko kwao Brazil π§π·.
Hongera sana @bruno_barroso97 π€View attachment 2689525View attachment 2689526
Kila mtu na mohangaiko yake anayoyaona ni sahihi kwake muhimu huvunji sheria tu.ππΌππ ππΌ ππΌππΌ ππΏ