Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana! Wanaume wananyanyapaliwa ktk ajira pamoja na age limit. Utakuta wanaandika Coy X is an equal opportunity employer, however Women are encouraged to apply. Na ukiona hivyo athubutu mwanaume ku apply, ataishia kuuza sura tu. Harafu, hii ni nchi pekee ambayo haithamini ajira za wazawa. Secular ya ajira iko wazi kuwa wageni wanaakiriwa ktk nafasi ambazo wenyeji hawaziwezi lakini kuna mameneja wengi wanaajiliwa kwa kazi za kawaida kabisa!