Kazi naitaka, Crush naye namtaka. Najiona nipo kwenye Matatizo makubwa

FlyingDutchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
399
Reaction score
794
Habari MMU,

Lately nmejikuta nmempenda sana dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, I made my few moves and seems like she is crushing back.

The problem is, nakiwa na job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini nipe experience, ijapokuwa mchumba siachi lazima nifanye jambo.
 
Hbr MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana Dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, i made my few moves and seems like she is crushing back.

The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini npeni experience, ijapokua mchumba siachi lazma nifanye Jambo.
......kazi itakuwa matatani kwani huyo ndio bosi wako, au alikufanyia interview .....kama sivyo anza kwa kutengeneza urafiki then ufahamu interests zake na pia yeye awe interested in you then mueleze kistaarabu kabisa.....ila ukianza ghafla hivi hukawii kuitwa kwenye kikao cha bodi ya wakurugenzi....
 
Try it then come tell us your experience.
 
Au sio Ri Min Hoo

Mfate mzee sema inategemea na experience yako yakuktaliwa na tabia ya huyo dada

Kama ni mtu wa ku-hung na mens na wewe ni mtu ambaye you can't take rejection achana nae

Ila kama ni loner huyo mdada kama unavosema mfate akichomoa fuleeeeeshi baaridaaa kwani shi ngapi bwaaanaaa aaaah
 
shida ataweza kukubaliana na matokeo akikataliwa, maana kumuanza tu mpaka kaomba ushauri
 
......kazi itakuwa matatani kwani huyo ndio bosi wako, au alikufanyia interview .....kama sivyo anza kwa kutengeneza urafiki then ufahamu interests zake na pia yeye awe interested in you then mueleze kistaarabu kabisa.....ila ukianza ghafla hivi hukawii kuitwa kwenye kikao cha bodi ya wakurugenzi....
Huyu n manager wa hi kampuni, ni mkuu wangu wa job as they say love is a disease and these who loves deeply as the one who fall sick, I am sick for her I'll take as much time as i can kujenga ukaribu asante kwa hu ushaur.
 
Fresh from School hawa. Yaani vijana wa siku hizi hamna kitu wanajua kusolve complex physics na mathematics tu lakini mambo mengine ni zero brain
Come on, don't be a hater nimeomba tu ushaur nipate experience it's open discussion you know.
 
Back
Top Bottom