Kijana, kazi yako ni muhimu kuliko uhusiano, tatizo umeweka hisia mbele ya kitu ambacho hakitakusaliti, kazi ya mikono yako ndo inakufanya uishi mjini.
Demu akikukataa haimaanishi ni mwisho wa Dunia, ila inamaanisha ni mwanzo wa kujishape wewe kuwa Bora zaidi, unabadilisha Kila kitu, kama unafanya kazi, unafanya kwa bidii na akili, Kila kitu unakifanya Kwa ubora, mademu watavutika kwako,
Women wanapenda high valued men, na kuwa high valued man is a sacrifice.
So jaribu bahati yako ila rejection isiharibu mentality yako, wewe ni Simba sio fisi.