FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
Una uhakika ni wachache?Kuna viumbe wachache wanafanya Watanzania tutambulike kuwa akili zetu ni ndogo.
......kazi itakuwa matatani kwani huyo ndio bosi wako, au alikufanyia interview .....kama sivyo anza kwa kutengeneza urafiki then ufahamu interests zake na pia yeye awe interested in you then mueleze kistaarabu kabisa.....ila ukianza ghafla hivi hukawii kuitwa kwenye kikao cha bodi ya wakurugenzi....Hbr MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana Dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, i made my few moves and seems like she is crushing back.
The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini npeni experience, ijapokua mchumba siachi lazma nifanye Jambo.
Try it then come tell us your experience.Hbr MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana Dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, i made my few moves and seems like she is crushing back.
The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini npeni experience, ijapokua mchumba siachi lazma nifanye Jambo.
Fresh from School hawa. Yaani vijana wa siku hizi hamna kitu wanajua kusolve complex physics na mathematics tu lakini mambo mengine ni zero brainIvi Jambo dogo Kama Hilo unakuja kuomba ushauri jamani ๐ค
๐ ๐ ๐ na umriNdugu Mteja!
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Namba ya simu
Mkoa
Wilaya
Eneo
shida ataweza kukubaliana na matokeo akikataliwa, maana kumuanza tu mpaka kaomba ushauriAu sio Ri Min Hoo
Mfate mzee sema inategemea na experience yako yakuktaliwa na tabia ya huyo dada
Kama ni mtu wa ku-hung na mens na wewe ni mtu ambaye you can't take rejection achana nae
Ila kama ni loner huyo mdada kama unavosema mfate akichomoa fuleeeeeshi baaridaaa kwani shi ngapi bwaaanaaa aaaah
The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani.
Tatizo hiloshida ataweza kukubaliana na matokeo akikataliwa, maana kumuanza tu mpaka kaomba ushauri
Huyu n manager wa hi kampuni, ni mkuu wangu wa job as they say love is a disease and these who loves deeply as the one who fall sick, I am sick for her I'll take as much time as i can kujenga ukaribu asante kwa hu ushaur.......kazi itakuwa matatani kwani huyo ndio bosi wako, au alikufanyia interview .....kama sivyo anza kwa kutengeneza urafiki then ufahamu interests zake na pia yeye awe interested in you then mueleze kistaarabu kabisa.....ila ukianza ghafla hivi hukawii kuitwa kwenye kikao cha bodi ya wakurugenzi....
Come on, don't be a hater nimeomba tu ushaur nipate experience it's open discussion you know.Fresh from School hawa. Yaani vijana wa siku hizi hamna kitu wanajua kusolve complex physics na mathematics tu lakini mambo mengine ni zero brain