FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
- Thread starter
-
- #21
Incase nikiface rejection ntakua perceived kama muhuni i think.
Ni mkuu wako kumbeHuyu n manager wa hi kampuni, ni mkuu wangu wa job as they say love is a disease and these who loves deeply as the one who fall sick, I am sick for her I'll take as much time as i can kujenga ukaribu asante kwa hu ushaur.
Mkuu Ngoja nijivike mabomu yakilipuka ntaleta feedback hapa 😂🙌Ni mkuu wako kumbe
We mtongozee
Unajua kumtongoza mwanamke ni kumheshimisha, kum-verify, unampa blue tick kwamba she's attractive
Kama ameaminiwa mpaka kupewa kitengo anajielewa huyo kama kakuelewa atakubali kam hajakuelewa she'll reject you in a respectful manner
....na zaidi ajitahidi kum-satisfy madam kwenye kazi kwanza.....coz akishakuwa trusted kwenye kazi hizi social issues huwa zinaenda zenyewe kama kumsukuma mlevi.....Ni mkuu wako kumbe
We mtongozee
Unajua kumtongoza mwanamke ni kumheshimisha, kum-verify, unampa blue tick kwamba she's attractive
Kama ameaminiwa mpaka kupewa kitengo anajielewa huyo kama kakuelewa atakubali kam hajakuelewa she'll reject you in a respectful manner
Kijana, kazi yako ni muhimu kuliko uhusiano, tatizo umeweka hisia mbele ya kitu ambacho hakitakusaliti, kazi ya mikono yako ndo inakufanya uishi mjini.Hbr MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana Dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, i made my few moves and seems like she is crushing back.
The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini npeni experience, ijapokua mchumba siachi lazma nifanye Jambo.
Jilipue tu kama umeamua, ila pima kwanza athari kama utazimudu.Hbr MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana Dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, i made my few moves and seems like she is crushing back.
The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini npeni experience, ijapokua mchumba siachi lazma nifanye Jambo.
Dag, nmekupata mkuuInategemea na vipaumbele vyako kama kazi muhimu akili ifanye maamuzi , halafu wanawake wa ofisini hutongozi jenga mazoea mjikute tu mnakulana kimasikhara baada ya hapo.ndio mnajadili mustakabali wa kilichofanyika.
No risk no gain weka rehani tu kazi yako ukifukuzwa basi
This is so deep mkuu,Kijana, kazi yako ni muhimu kuliko uhusiano, tatizo umeweka hisia mbele ya kitu ambacho hakitakusaliti, kazi ya mikono yako ndo inakufanya uishi mjini.
Demu akikukataa haimaanishi ni mwisho wa Dunia, ila inamaanisha ni mwanzo wa kujishape wewe kuwa Bora zaidi, unabadilisha Kila kitu, kama unafanya kazi, unafanya kwa bidii na akili, Kila kitu unakifanya Kwa ubora, mademu watavutika kwako,
Women wanapenda high valued men, na kuwa high valued man is a sacrifice.
So jaribu bahati yako ila rejection isiharibu mentality yako, wewe ni Simba sio fisi.
😅😅😅shida ataweza kukubaliana na matokeo akikataliwa, maana kumuanza tu mpaka kaomba ushauri
Jiendekeze.Hbr MMU,
Lately nmejikuta nmempenda sana Dada mmoja kwa company nayofanyia kazi. She is quite intelligent and a loner, i made my few moves and seems like she is crushing back.
The problems is nkiface rejection my job pia itakua matatani. Wenye experience na kudate kazini npeni experience, ijapokua mchumba siachi lazma nifanye Jambo.
All the best mkuuMkuu Ngoja nijivike mabomu yakilipuka ntaleta feedback hapa [emoji23][emoji119]
Sure thing mkuu....na zaidi ajitahidi kum-satisfy madam kwenye kazi kwanza.....coz akishakuwa trusted kwenye kazi hizi social issues huwa zinaenda zenyewe kama kumsukuma mlevi.....
usimtishie mwenzakoHuyo n mke wa mtu kuwa makini watazibua spika halaf mwisho wa siku uje uongeze wale watu wa kataa ndoa kumbe watu wamekuvua uongoz kazin huko
Sw muache aende ila asisahau na kilainishi tuusimtishie mwenzako
Msiwasingizie watu wachache bwana....wee sema tuu kwa ujumla waafrica hatuna akili bwana.Kuna viumbe wachache wanafanya Watanzania tutambulike kuwa akili zetu ni ndogo.
Haya yanakuwa majibu ya TANESCO pindi unapotoa taarifa kwao. Na wakati huo huo wanajua kuwa tunatumia fake IDsNdugu Mteja!
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Namba ya simu
Mkoa
Wilaya
Eneo