Kazi ngumu na matusi

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Karibu watu wote wanaofanya kazi ngumu matusi ndo raha yao.
Wabeba zege, mafundi wa nyumba, mafundi wa barabara, watu wa TANESCO wanaoweka nguzo. Karibia kada zote zinazofanya nguzo kutukana ni jambo la kawaida haijalishi kazi inafanyikia wapi iwe kanisani au msikitini.
 
Sio kwa ubaya lakini, wewe na shabani wa ZAMALADI mwenye nyumba ya ULISI AU HULISI ni ndugu???๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Kuna watu wa Tanesco walikuja kurekebisha nguzo home, walikua wanatukanana matusi mazito halafu kwa sauti.. hadi nlikua naona aibu ๐Ÿ™‡โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™‡โ€โ™€๏ธ
Utafikiri huna unachokijua katika wanayozungumza! Kumbe upo konki fire kila neno unalijua na application yake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nilipita gerezani, pale karibu na keko, nikiwa na shangazi yangu. Tuliwakuta majamaa wanaweka michuma ile ya reli.....aisee hayo matusi sasa, mpaka nilikosa pa kuweka sura yangu mbele ya shangazi. Wanakera sana.
 
Was was wako tuu..shangaz yako hakua na asichokijua hapo ..kila neno na matumiza yale alikua anajua.So yeye labda ndio alipaswa kuona aibu kwako wewe unfortunatelly kumbe na wewe ulikua mkongwe unajua kila kinachoongelewa ๐Ÿ˜‚
 
Kuna watu wa Tanesco walikuja kurekebisha nguzo home, walikua wanatukanana matusi mazito halafu kwa sauti.. hadi nlikua naona aibu [emoji2308][emoji2308]

Tanesco shoti zimewakausha ubongo [emoji23][emoji23]
Matusi kwao ndo kiwandani
 
Kuna watu wa Tanesco walikuja kurekebisha nguzo home, walikua wanatukanana matusi mazito halafu kwa sauti.. hadi nlikua naona aibu ๐Ÿ™‡โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™‡โ€โ™€๏ธ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ wale wamevurugwa halafu unakuta ni watu wazima kabisa ila hiyo mitusi hasa pale nguzo inapoanza kuingia kwenye shimo ndio utachoka
 
Hawa wa TANESCO ni wa kuchukuliwa hatua, wanaimba matusi mtaani hawajali kama kuna watoto.
Wanawafundisha watoto wetu tabia mbaya.
 
Tanesco shoti zimewakausha ubongo [emoji23][emoji23]
Matusi kwao ndo kiwandani
Yani we acha tu,,, halafu hawaangalii hata kama kuna watoto jirani wanaweza kuwasikia๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ