Kazi ngumu na matusi

Kazi ngumu na matusi

Samahani mkuu....
Kwani ugumu wa kazi unapimwa na nini??
 
Was was wako tuu..shangaz yako hakua na asichokijua hapo ..kila neno na matumiza yale alikua anajua.So yeye labda ndio alipaswa kuona aibu kwako wewe unfortunatelly kumbe na wewe ulikua mkongwe unajua kila kinachoongelewa ๐Ÿ˜‚
Huna adabu
 
Karibu watu wote wanaofanya kazi ngumu matusi ndo raha yao.
Wabeba zege, mafundi wa nyumba, mafundi wa barabara, watu wa TANESCO wanaoweka nguzo. Karibia kada zote zinazofanya nguzo kutukana ni jambo la kawaida haijalishi kazi inafanyikia wapi iwe kanisani au msikitini.
kuna hawa washindani wa ccm bana yanayaporomosha haswa
 
Hii nishaishuhudia kule rongai kipindi nafanya field kwenye ofisi ya tfs agency , tukiwa msituni kutengeneza zile kupu . Sasa wale jamaa wakati wa kupandisha gogo kwenye gari linasindikizwa na matusi ambayo hutegemei kama yana exist humu duniani dah. Imagine gogo pine lenye DBH ya sm 85 na urefu wa futi 15 linapandishwa na watu wanne kweny gari likisindikizwa na matusi of the worst kind
 
Back
Top Bottom