Kazi ngumu na matusi

Samahani mkuu....
Kwani ugumu wa kazi unapimwa na nini??
 
Was was wako tuu..shangaz yako hakua na asichokijua hapo ..kila neno na matumiza yale alikua anajua.So yeye labda ndio alipaswa kuona aibu kwako wewe unfortunatelly kumbe na wewe ulikua mkongwe unajua kila kinachoongelewa πŸ˜‚
Huna adabu
 
kuna hawa washindani wa ccm bana yanayaporomosha haswa
 
Hii nishaishuhudia kule rongai kipindi nafanya field kwenye ofisi ya tfs agency , tukiwa msituni kutengeneza zile kupu . Sasa wale jamaa wakati wa kupandisha gogo kwenye gari linasindikizwa na matusi ambayo hutegemei kama yana exist humu duniani dah. Imagine gogo pine lenye DBH ya sm 85 na urefu wa futi 15 linapandishwa na watu wanne kweny gari likisindikizwa na matusi of the worst kind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…