Kazi ngumu sana lakini nasave laki kwa mwezi

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
883
Wakuu naombeni ushauri,
Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika.
Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi.
Baada ya kufanya matumizi yote ya muhimu,ndani ya mwezi huwa naweka akiba laki moja.Malengo yangu nikufanya kazi apa kwa muda wa miaka 5 ili nipate mtaji wakutosha na pesa ya kuolea.
Tatizo kila siku inakuja roho ya kukata tamaa,huku mawazo mengine yanasema nikipata ata laki tano niache kazi.

Je wakuu,nikisema nivumilie kwa muda wa miaka 5,ili niondoke na million 5,sitakua nimejichelewesha maisha?.
 
Ndio utakuwa umechelewa sana, hadi sasa una sh ngapi ulizosave na una save ili iweje, kwa sababu huwezi biashara, umekula mtaji wote, nadhani endelea kuwa mtumwa hapo ndo salama kwako, utaaibika mtaani kutokuwa na kazi
 
Embu, vumilia kwa muda huku unaangalia kwingine, maana usije jikuta umepoteza muda mwingi na nguvu pia, kuliko kukaa tu geto au home vumilia.
 
Dah! Kweli unateseka mkuu pole sanaa... 1.Haba na haba ujaza kibaba....
2.ndondo SI chururu

Nachukia sanaa ajira kwakua zinapoteza sanaa muda na ata ukijibidisha vp mshahara wako hauwezi panda...

Hapo tuu ninaugomvi mkubwa na kuajiriwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapiga dili tunateseka sana.
Komaa mkuu kuna watu wanataka tuishi maisha magumu kabisa ndo furaha yao.
 
Tafuta kazi nyingine wakati una hiyo. Usiache wakati haujapata kazi nyingine. Ahirisha mawazo ya kuoa sasa.
Wakuu naombeni ushauri,
Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika.
Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi.
Baada ya kufanya matumizi yote ya muhimu,ndani ya mwezi huwa naweka akiba laki moja.Malengo yangu nikufanya kazi apa kwa muda wa miaka 5 ili nipate mtaji wakutosha na pesa ya kuolea.
Tatizo kila siku inakuja roho ya kukata tamaa,huku mawazo mengine yanasema nikipata ata laki tano niache kazi.

Je wakuu,nikisema nivumilie kwa muda wa miaka 5,ili niondoke na million 5,sitakua nimejichelewesha maisha?.
 
Watu wanatafuta pesa ya kuolea uku wakati wengine wanakimbia ndoa zao aaaasalalee, sina cha kukushauri mjomba we komaa unavyoona inafaaa

The world is not fair
 
Kama ni graduate endelea hapo huku ukitafuta michongo mingine
Lakini laki kwa mwezi utahangaika sana na morale ya kazi itaisha kabla ya miaka 5
Umesomea nini
 
Wakuu naombeni ushauri,
Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika.
Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi.
Baada ya kufanya matumizi yote ya muhimu,ndani ya mwezi huwa naweka akiba laki moja.Malengo yangu nikufanya kazi apa kwa muda wa miaka 5 ili nipate mtaji wakutosha na pesa ya kuolea.
Tatizo kila siku inakuja roho ya kukata tamaa,huku mawazo mengine yanasema nikipata ata laki tano niache kazi.

Je wakuu,nikisema nivumilie kwa muda wa miaka 5,ili niondoke na million 5,sitakua nimejichelewesha maisha?.
Ondoa kwanza hilo wazo la kifanya kazi ngumu kwa kutunza hela ya kuolea,
Ondoa nia hiyo,
Weka nia ya kusave kwa ajili ya maendeleo
 
Wakuu naombeni ushauri,
Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika.
Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi.
Baada ya kufanya matumizi yote ya muhimu,ndani ya mwezi huwa naweka akiba laki moja.Malengo yangu nikufanya kazi apa kwa muda wa miaka 5 ili nipate mtaji wakutosha na pesa ya kuolea.
Tatizo kila siku inakuja roho ya kukata tamaa,huku mawazo mengine yanasema nikipata ata laki tano niache kazi.

Je wakuu,nikisema nivumilie kwa muda wa miaka 5,ili niondoke na million 5,sitakua nimejichelewesha maisha?.
Mkuu kuweka akiba ama kusave ni tabia tu ya asili ya kuzaliwa yani nature tofauti na hapo HUWEZI it is a genetic thing
 
Kiwanda cha nondo? Kile pale kwa wachina karibu na Tazara?

kama wewe graduate aikushauri ufanye miaka mingi hivyo.

Fanya huku ukitafuta kazi yako uliyosomea.
 
Kweli nimeamini wanawake mnatuhangaisha.
Yaani jamaa afanye kazi ngumu ya kumhatarisha afya yake alafu miaka mitano yote atoe mahari na akupe matumizi, cha ajabu unaanza kumsema mwamme huyu..... Mara......
Aisee being a man is no joke.
 
Mimi nnauwezo wa kusave ata laki nne kwa mwezi lakn jinsi sinavyoondoka ata sielewi kila mwezi naanza upya
husev wewe,
usitembee na hizo mnazoita ATM card kwenye walet mwiko
usihamishe wala kuweka pesa zako kwa mitandao mwiko
weka mapato na matumizi yako yote ya mwezi na uyajue na kuyafuata.
usinune wala kula hovyo
 
Back
Top Bottom