Webb
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 425
- 883
Wakuu naombeni ushauri,
Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika.
Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi.
Baada ya kufanya matumizi yote ya muhimu,ndani ya mwezi huwa naweka akiba laki moja.Malengo yangu nikufanya kazi apa kwa muda wa miaka 5 ili nipate mtaji wakutosha na pesa ya kuolea.
Tatizo kila siku inakuja roho ya kukata tamaa,huku mawazo mengine yanasema nikipata ata laki tano niache kazi.
Je wakuu,nikisema nivumilie kwa muda wa miaka 5,ili niondoke na million 5,sitakua nimejichelewesha maisha?.