Kazi ni Kazi ila nyingine mhhhh

Kazi ni Kazi ila nyingine mhhhh

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
View attachment 10698

attachment.php

Source: GlobalPublishers

Kazi zingine ngumu sana ! Huyu Dada ni mlinzi kwenye kampuni fulani....jamaa wamemnasa akiwa amelala jua la mchana sijui analinda nini akiwa usingizini! Halafu akirudi nyumbani anakutana na mzee anadai yale mambo yetu....kazi kweli kweli
 
Duh! Kwa kweli amechoka ile mbaya. Yawezekana jana yake hakulala, alikuwa na kazi.
 
Maisha ni magumu jamani. Viongozi wetu hebu mje na mkakati wa kupunguza makali ya maisha. Halafu mshahara ni 80,000 kwa mwezi na sijui maisha wanayaendeshaje maana hiyo ni matumizi ya mtu kwa siku kama una gari, mke gari, bado chakula na starehe ndogo ndogo kwa familia. Huwa hawa walinzi nawahurumia sana, huwa kuna wakati hawana hata nauli ya kurudi nyumbani, na wanashinda lindoni bila chakula! Matokeo yake inabidi wajiibe toka lindoni watumwe vitafunio au chakula na ofisi husika ili apata change kidogo inayobaki (up to 500) kama ofisi yenyewe si ya wafanyakazi wachovu (wenye maslahi mazuri).
 
APO jambazi anaingia kwa amano zote, anamfunga kamba na kufanya atakacho...na wewe ndani unasema una mlinzi...hahaha.
 
Jamani mbona mnamharibia kazi huyu dogo? mgeziba sura basi, lol!
 
Ni mfanyakazi wa Kampuni ambayo mimi nilikuwa nafanyia kazi, tayari alikuwa na kesi ya kujibu kutokana na picha hiyo kuonekana Global Publishers, yawezekana mmetia kitumbua chake mchanga
 
bora lakini anapata riziki yake kihalali,asumbuliwi na mtu wala sheria havunji,na wala sio tegemezi kila kitu kwa bwana wake/mwanaume.
 
Kazi kweli kweli, haya ndio maisha ya mlalahoi, usiku kalala job kisha kaunga tena na mchana ili usiku awe off ili alinde ndoa.
 
MPIGAPICHA NA MHARIRI MLIO-PUBLISH HII PICHA SIO POA!! HAPA NAWAFANANISHA NA WAZIRI NGELEJA ALIYEMFUKUZISHA KAZI YULE MLINZI WAPALE BANK!!! M-DADA KAACHA KUJIUZA ANASAKA CHAPAA NYIE MSIO NA HAYA MNAMFOTOA THEN MNARUSHA HEWANI....HAYA KAMA KAFUKUZWA,MMEFURAHI???? MBONA MATUKIO YA KUFOTOA NA KUYARUSHA HEWANI YAKO MENGI??? !!!@#%^%^^^h^h&&&***&*&ma zenu!!!
 
Mwenzake huyu hapa kwetu mitaa ya Detroit....mwera imembonje ndani ya gari na jamaa akafanya kweli
na kuitundika kwenye mtandao.

Pic of Detroit cop sleeping in squad raises questions


sleepingdetroit.jpg


DETROIT - By anyone's account, it isn't a pretty picture: a uniformed Detroit police officer appears to be asleep, his mouth agape, sitting in what is apparently the driver's seat of a squad car.

The image was posted over the weekend on www.mediatakeout.com, and, according to the site's traffic counter, it's been viewed more than 400,000 times. Among the viewers? The officer's bosses.

"We were made aware of the photo over the weekend and began investigating immediately," Detroit Police Spokesman John Roach said today. "As of this morning, we've identified the officer, we know who he is. We have not yet had an opportunity to interview him directly, but we will as soon as possible."

Roach declined to release the officer's name but said he works as a patrolman in the city's 8th Precinct. Roach said police are investigating whether the officer was on duty and not on a break when the photo was shot
 
Back
Top Bottom