Kazi ni kulewa tu na kufungia wakenya, Boniface Mwangi amlipua Uhuru, wananchi wamuunga mkono

Kazi ni kulewa tu na kufungia wakenya, Boniface Mwangi amlipua Uhuru, wananchi wamuunga mkono

Freedom of speech 💪💪

Dah, kwa hapa tz ole wakooo, ole wakooo narudia tena "OLE WAKOOO" Useme kitu kama hiki kwa raisi 😂

Utapata taabu sana
 
Freedom of speech [emoji123][emoji123]

Dah, kwa hapa tz ole wakooo, ole wakooo narudia tena "OLE WAKOOO" Useme kitu kama hiki kwa raisi [emoji23]

Utapata taabu sana
Freedom of stupidity, wakenya wanaumia, maisha yamekua magumu, watu wanauliwa na polisi, nchi uchumi unasambaratika kwa sababu ya uzembe wa viongozi lakini bado stupid Kenyans wameshikilia "freedom of speaking", hahahaha.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Freedom of speech [emoji123][emoji123]

Dah, kwa hapa tz ole wakooo, ole wakooo narudia tena "OLE WAKOOO" Useme kitu kama hiki kwa raisi [emoji23]

Utapata taabu sana

Hauoni viongozi wanavyosemwa hata hapa JF
 
Duh, Kenya imeoza mazee, napata lots of information, ni mbaya deadly.
Kuja kutana na nyumbu za jubilee sasa humu JF, u might think it's heaven kumbe ni mavi matupu
 
Kuna Mtanzania mwenye ujasiri was kumuekeza Rais mapungufu yake kinagaubaga hivi?
 
wasee ya science[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila duh!![emoji15]
 
Back
Top Bottom