Kazi ni kulewa tu na kufungia wakenya, Boniface Mwangi amlipua Uhuru, wananchi wamuunga mkono

Kazi ni kulewa tu na kufungia wakenya, Boniface Mwangi amlipua Uhuru, wananchi wamuunga mkono

Wale waTanzania wanaotaka lockdown wasihangaike sanaaa waende tu kenya hapo wakakae huko
Kuna vigagula flani wameanza huo upumbavu eti njia za kisayansi,akina kigwangala yaani najiuliza,mda wote huo ambao tumeishi na Corona Tanzania Hii tilifuata njia gani mpaka tumefanikiwa?
 
Freedom of speech 💪💪

Dah, kwa hapa tz ole wakooo, ole wakooo narudia tena "OLE WAKOOO" Useme kitu kama hiki kwa raisi 😂

Utapata taabu sana
Huko TZ ni either utauwawa ama upotezwe.Thats why I love my country so much.Freedom of Speech
 
Back
Top Bottom