Ambassador_
Member
- Nov 27, 2020
- 26
- 45
Kuna jamaa[emoji1465] alipost kua anahitaji 20k [emoji383] ana dharula. Watu wakasoma [emoji102] na kupuuzia isipokua dada moja tu ambaye alimfuata DM na kumtumia 50k [emoji383].
Kumbe yule jamaa alikua tajiri akizuga tu, basi akamzawadia yule dada gari [emoji593] jipya. Anyway kwa kifupi na mimi nahitaji 40k [emoji3525]
Kumbe yule jamaa alikua tajiri akizuga tu, basi akamzawadia yule dada gari [emoji593] jipya. Anyway kwa kifupi na mimi nahitaji 40k [emoji3525]