G Girn New Member Joined Sep 29, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Jun 18, 2022 #1 habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 30, 2022 #2 Wakuu inamaana uzi huu hamuuoni
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jul 1, 2022 #3 Sa 7 mchana said: Wakuu inamaana uzi huu hamuuoni Click to expand... Wanauona ila hawajui mawakala walipo
Sa 7 mchana said: Wakuu inamaana uzi huu hamuuoni Click to expand... Wanauona ila hawajui mawakala walipo
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jul 1, 2022 #4 Ngoja waje
Mchunguzi Fukara JF-Expert Member Joined Dec 23, 2021 Posts 215 Reaction score 274 Jul 1, 2022 #5 Wewe unataka kwenda nchi mkuu ainisha na nchi ili hata akija wakala wa burundi ama mawalai ajue kuwa huu uzi haumuhusu
Wewe unataka kwenda nchi mkuu ainisha na nchi ili hata akija wakala wa burundi ama mawalai ajue kuwa huu uzi haumuhusu