Kazi nje ya nchi

Girn

New Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
1
Reaction score
0
habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu
πŸ™
 
Wewe unataka kwenda nchi mkuu ainisha na nchi ili hata akija wakala wa burundi ama mawalai ajue kuwa huu uzi haumuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…