Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haufikirii kama polisi wangefanya kazi kwa uadilifu zaidi wangejua wanarudi mtaani baada ya miaka 5, 10 au 15?Kuna uhaba mkubwa wa madaktari hasa katika hospitali za vijijini, ukimpa mkataba daktari utaumiza wananchi. Kwa polisi utaongeza uhalifu na uhasama wakirudi mitaani.
Too bad hamna serikal dunian public workers wote wanafanya kazi kwa mkataba. Police haifai kabisa klabda wengineHizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana.
1.Ubalozi
2.Mwanasheria mkuu
3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma
4.Madaktari
5.Polisi
Uadilifu unaletwa na mkataba? You guys fikirini mbali basiHaufikirii kama polisi wangefanya kazi kwa uadilifu zaidi wangejua wanarudi mtaani baada ya miaka 5, 10 au 15?
Zipo but under special condition, japo watumish wa muda mrefu bado wapo, tena haswa kwa polisi, wengi ajira si za muda mfupiJielimishe zaidi, zipo nchi mfumo wa kazi ni hivyo.
Sahihi kabisa, kazi chache sana za serikali ndio zilipaswa kuwa ajira ya kudumu.Umri wa binadamu una ukomo. Kifo ni jambo la uhakika kwa asilimia mia. Inashangaza sana kuona Serikali ambayo pia ina ukomo inaruhusu ajira za kudumu kwa watumishi wake. Watumishi wote wa Serikali wanapaswa kuajiriwa kwa mkataba na sio hii habari ya ajira za kudumu.