Kazi nzito Trump aliyonayo

Kazi nzito Trump aliyonayo

Katika huu uzi kuna mahali nimezungumzia habari za usenge na wasenge ?
Kwasababu Mada ni Trump sijaderail uzi wako hata kidogo ila nilikuwa najaribu kuwakumbusha Washabiki wa Mzee Trump.
 
Huna uwezo wa kujibu hata ukiulizwa,
Unaweza kuthibitisha hapa ni nani aliyetaka kumuua Trump?
Najua umeandika kwa msukumo wa chuki ya kidini.
Mbona huyo Brother mwenye Uzi kajibu na tumeeleweshana.
 
Soko la Marekani kwa bidhaa za China linachangia 3% tu ya GDP ya China, hata aweke taiffs ya 100% kwa bidhaa zote za China uchumi wa China hautatetereka

Upande wa teknolojia ya kutengeneza chips utawala wa Trump ulijaribu ukashindwa akaja Biden naye kafeli

Wote 2 wameshindwa kuzuia kukua kwa tech ya kutengeneza chips nchini China licha ya vikwazo uchwara

Mpaka sasa China wameshatengeneza DUV lithography machine kwa ajili ya kutengeneza chips

Na tayari kampuni za China kama Huawei na nyingine zimeshajaza patent kwa ajili ye kutengeneza EUV machine ambayo ni kampuni moja tu duniani ASML ya Uholanzi ndio wanatengeneza EUV machine

Level alizofikia China kwa sasa kwenye chip tech Marekani hawezi kumbabaisha

Trump hawezi kutenganisha ukaribu wa Russia na China haya mataifa 2 yameingia mikataba ya umoja na ukaribu katika kila sekta 'no limits relationships'
 
Kwa hiyo wewe wa hapo mwamapalala ndio unaijua marekani zaidi kuliko Trump?
E ndiwooo, ivi kwani kama choo chako kinanuka unafikiri utaweza gundua wewe mwenyewee... hutawezaa ila mtu alie njee anaweza sema jirani choo kinatema. Mfano huo ndio kama wamerekani na uamuzi wao.. in short most of Americans wanaishi kwenye bubble na hivi karibuni wapo kupasuka
 
Wewe jamaa unapenda sana Bundasliga za ubishi.
Wewe jamaa unapenda sana kulishwa matakataka na kumeza tu,leta ushahidi hapa kua Ayatullah anahusika na jaribio la kumuua Trump,

Punguza ukasuku,sio kila unalolisikia unalibeba tu bila kutumia akili,

Punguza kujieleza,jibu swali nililokuuliza kwenye comment 19#
 
Soko la Marekani kwa bidhaa za China linachangia 3% tu hata aweke taiffs ya 100% kwa bidhaa zote za China uchumi wa China hautatetereka

Upande wa teknolojia ya kutengeneza chips utawala wa Trump ulijaribu ukashindwa akaja Biden naye kafeli

Wote 2 wameshindwa kuzuia kukua kwa tech ya kutengeneza chips nchini China licha ya vikwazo uchwara

Mpaka sasa China wameshatengeneza DUV lithography machine kwa ajili ya kutengeneza chips

Na tayari kampuni za China kama Huawei na nyingine zimeshajaza patent kwa ajili ye kutengeneza EUV machine ambayo ni kampuni moja tu duniani ASML ya Uholanzi ndio wanatengeneza EUV machine

Level alizofikia China kwa sasa kwenye chip tech Marekani hawezi kumbabaisha

Trump hawezi kutenganisha ukaribu wa Russia na China haya mataifa 2 yameingia mikataba ya umoja na ukaribu katika kila sekta 'no limits relationships'
Hatari DT kazi anayo
 
Wewe jamaa unapenda sana kulishwa matakataka na kumeza tu,leta ushahidi hapa kua Ayatullah anahusika na jaribio la kumuua Trump,
Ayatolah ana motive ya kumuua Trump kwasababu Trump alimuua General Qasim Sulemani.

Mashoga wana motive ya kumuua Trump kwasababu Trump ni Anti LGBTQ+
 
Kwahiyo hii ndio evidence yako ya Ayatullah kuhusika?

Unatia aibu aisee.
 
Wewe unayeamini Mtu anaweza kupanda Farasi akaenda mbinguni 😆😆😆
Nilijua tu ile comment yako ya kumsema Ayatullah ilikua ni chuki ya udini,na hapa umethibitisha hilo,

Wewe unayeamini Ushoga ndio haki ya Binadamu.
 
Ayatolah atauwawa na Donald Trump wewe subiri kidogo.
 
Hakuna namna ambayo USA inaweza kukua zaidi au kubakia kuwa superpower bila kuungana kisera (kibiashara na kivita) na Russia, China au Western Europe. USA haiwezi kusimama tena yenyewe. Bahati mbaya sana Trump anaamini USA inaweza kusimama yenyewe. Muda utamfundisha kitu.
Ndo hivyo USA kuna siku itajikuta inajipa risasi miguuni mwaka dunia aliyoiacha trump si hiii aliyokutana nayo sasa
 
Soko la Marekani kwa bidhaa za China linachangia 3% tu hata aweke taiffs ya 100% kwa bidhaa zote za China uchumi wa China hautatetereka

Upande wa teknolojia ya kutengeneza chips utawala wa Trump ulijaribu ukashindwa akaja Biden naye kafeli

Wote 2 wameshindwa kuzuia kukua kwa tech ya kutengeneza chips nchini China licha ya vikwazo uchwara

Mpaka sasa China wameshatengeneza DUV lithography machine kwa ajili ya kutengeneza chips

Na tayari kampuni za China kama Huawei na nyingine zimeshajaza patent kwa ajili ye kutengeneza EUV machine ambayo ni kampuni moja tu duniani ASML ya Uholanzi ndio wanatengeneza EUV machine

Level alizofikia China kwa sasa kwenye chip tech Marekani hawezi kumbabaisha

Trump hawezi kutenganisha ukaribu wa Russia na China haya mataifa 2 yameingia mikataba ya umoja na ukaribu katika kila sekta 'no limits relationships'
Ashukiriwe China kwa kuwa mbadala wa Chips duniani maana bila hivyo maisha yangekuwa magumu sana kwa wahasimu wake kama Iran na uwepo wa brics ndo tena USA anabak kama mbwa koko
 
Mbona unatoka nje ya Hoja wewe njoo na ile ID yako nyingine yenye stara kidogo.
Mada gani unayoweza kujadili debe tupu wewe? Hivi hujajishtukia tu kua umegeuka kituko hapa?

Issue ya Iraq ilikua wanadai Sadam ana Weapons of Mass Destruction,na mpaka leo hawakupata hizo weapons,halafu wewe Debe tupu unaleta ngonjera zingine kabisa kuhusu Saddam,

Hata Tony Blair alikubali kua ilikua wrong zile tuhuma na kuivamia Iraq

Wewe huna akili ya kujadili jambo lolote lile,endelea tu kutingisha kalio zako hapa kwa kuandika ujinga ujinga.
 
Back
Top Bottom