mlango wenyewe wa kuingia pale haunekani.nilitaka nijifanye nimepotea niingie nione kuna nini.mwenye kujua mlango ulipo anielekeze nikawaleteeni picha za ndani.
sister vipi banana hizo bei gani?kama za bukoba vile! au lady n kamugisha,reyemamu,mukandara,byarushengo,rwekaza,nk.kama ndivyo wapi hai kamachumu,katerero,kagondo na kwingine.