Kazi pal..

Kazi pal..

Aloysius

Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
80
Reaction score
9
Hivi lile Hall Karibu na maeneo ya wizara ya ndani limeandikwa FREE MASONS HALL wao huwa hawaajiri watu?
 
Hawaajili watu bali wanatoa utajiri,nenda kajaribu kama unainterest.
 
mlango wenyewe wa kuingia pale haunekani.nilitaka nijifanye nimepotea niingie nione kuna nini.mwenye kujua mlango ulipo anielekeze nikawaleteeni picha za ndani.
 
sister vipi banana hizo bei gani?kama za bukoba vile! au lady n kamugisha,reyemamu,mukandara,byarushengo,rwekaza,nk.kama ndivyo wapi hai kamachumu,katerero,kagondo na kwingine.
 
Kwani vipi jamani?mi mbona nafanya kazi hapo huwa nawa-wellcome wageni.
 
afadhali haw sijawahi kukutana na mtu akasema anafanya richimond au hivi vikampuni vingine ka simyoni niwadai umeme hivi ofisi zao ziko wapi au ikulu?
 
Back
Top Bottom