Kazi Quality Group

Kazi Quality Group

Mkubwa mimi binafsi nashukuru kwa kuiweka kazi hadharani. Ni jana tu niliwapa CV na nimetakiwa nijipange nikamuone mtoa kazi yaani nimealikwa interview. Nitawasihi wadau wengine wajaribu wasiwe na fikra potofu ya kuwa kila kazi ina undugunisation ni kujaribu tu
 
Back
Top Bottom