Kazi: Tanganyika Law Society

Kazi: Tanganyika Law Society

Caren

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2010
Posts
278
Reaction score
91
Wadau,
Kuna kazi zimetangazwa Tanganyika Law Society. Jaribu bahati yako.Mshahara wao si mbaya sana.
See Attachment for details.

Kwa wale mnaotumia internet zaidi badala ya posta mnaweza kutuma CV zenu katika email yao.

Email ni info@tls.or.tz
 

Attachments

Back
Top Bottom