Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

Hao walisha chomwa sindano za msimu mzima kwahiyo mechi yoyote wanacheza kwa kiwango kile kile.
Si umewahi sikia kwamba ukivuta bangi inakaa miaka Saba😀,ndicho wanacho fanya hao vijana wa "jiesiemu"
Basi nendeni Tff na caf kuna sanduku la maoni kama alivyosema Msemaji wenu, pia caf walishindwa nini kuwapima wakiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa!
 
Basi nendeni Tff na caf kuna sanduku la maoni kama alivyosema Msemaji wenu, pia caf walishindwa nini kuwapima wakiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa!
Kwani madawa ya kichawi hua yanaonekana kwa vipimo hivyo vya caf?
 
Tatizo wengi wanaangalia soka la bongo tu.
 
Hata uwaambiaje wala hawatakuelewa.
 
Ila si kweli kapteni wetu Mwamnyeto hata sindano zinadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…