Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

Kazi waliyopiga wachezaji wa Yanga kwenye mechi 2 timu ya taifa napenda nijue walichomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa timu ya taifa?

Hao walisha chomwa sindano za msimu mzima kwahiyo mechi yoyote wanacheza kwa kiwango kile kile.
Si umewahi sikia kwamba ukivuta bangi inakaa miaka Saba😀,ndicho wanacho fanya hao vijana wa "jiesiemu"
Basi nendeni Tff na caf kuna sanduku la maoni kama alivyosema Msemaji wenu, pia caf walishindwa nini kuwapima wakiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa!
 
Basi nendeni Tff na caf kuna sanduku la maoni kama alivyosema Msemaji wenu, pia caf walishindwa nini kuwapima wakiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa!
Kwani madawa ya kichawi hua yanaonekana kwa vipimo hivyo vya caf?
 
Hao ni wa hapa! Bado hujawataja wengine. Mfano Djugui Diarra, Khalid Aucho, Prince Dube, Kennedy Musonda, Clotus Chama, nk!! Na wote hao wamecheza vizuri tu kwenye timu zao na pia kuzisaidia kufuzu Afcon!!

Mwisho wa siku ndiyo utakuja sasa kugundua aliyewaita mbumbumbu wale viumbe wa ile timu fulani; hakika aliwaza mbali sana.
Tatizo wengi wanaangalia soka la bongo tu.
 
Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje?

Pumzi za hao wachezaji na fitness zao zilikuwa kwenye level ya juu sana, Bacca na Job walikuwa wanakwenda kusaidia kwa Kapombe na Mohamed Hussein pindi kulipotokea hatari na bado wakawa na uwezo wa kuzima hatari zote pale katikati!

Ningependa tuambiwe ni mabomba mangapi ya sindano yalitumika kuwaongezea Hawa vijana nguvu za kucheza dk zote bila kuchoka wakiwa timu ya taifa!

Soma Pia: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?

N;B siku zote mchawi sio mpaka aruke na ungo bali ata wivu na roho mbaya ya maendeleo ya mwenzako ni uchawi tosha!
Hata uwaambiaje wala hawatakuelewa.
 
Back
Top Bottom