Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

Asante sana kwa comment Yako

Unaweza kujazia
Najazia, waambie wapitie baadhi ya vitabu hivi:
1. "The Sumerians"
2. "The Wars of Gods and Men"
3. "The Seven Tables of Creation"
4. "The 12th Planet"
5. Decoding The Deluge"
Halafu ukimaliza hivyo njoo hapa tuongee.
"Angalizo" :- Usomapo, Kwanza toka nje ya chupa ulimo na pia usiwe mfia dini
Ahsante
 
Tafadhali DR Mambo Jambo njoo utie neno😊
Nimeiona Habari, Very Interesting..
Nachofurahi Ni kwamba kaeleza Vizuri sana Na kwa ufasaha...

Ila ninachosikitika Ni kwamba Kachanganya Hadithi tofauti zenye mlengo tofauti kueleza kitu kimoja.

Thats so sad!..

Kwanza kabisaa Hadithi za Uwepo wa Binadamu wa Kwanza na hata Miungu ya kwanza zipo katika Sumerian Manuscripts aidha ni OLD Babilonic Version au kwenye The Book of Ramadosh "Book of Creation." Na nimeona anachanganya na JADI story of creation..

story za Anunaki zote zina utata...

Kwanini Naweza kusema story za Anunaki zina utata..
Hata kama Zinaconvince kuwa za kweli?

story zote za Anunaki zinatifautiana inategemea unafata Story za Ulamaa yupi kwahyo Japo Kuna Chembe za Kuwa ndo story za zamani sana kuliko zote ila bado haziko clear kuhusu...kwanini Mpaka leo hawapo..wala mabaki yao??

NimeSoma vitabu vya Anunaki zaidi ya 10 kila kitabu kina Bring confusion zaidi na Sio kuprovide majibu..

Ukoo wa Antu na Wa Binamu yake Ani..ni Huu hapa sio alioutaja Lahama na laham ni Vitukuu vyao na sio Walioumbwa pamoja na anshar na kishar ni wajukuu zao





Kuhusu Hao aliowataja kama sijui Lucifer na wengine mara yesu Mara sjui nani Hakuna Ukweli wowote...

Horus hakuwahi kuwa Yesu na lucifer sio Enki wala Enlil..


Nawasilisha mkuu


CC: baro
 
Dhihaka ni mingi, hatujiulizi why kuna dini zaidi ya milioni?? Ukiwa timamu lazima ufikirie je mwandishi aliwaza nini mipaka kuandika maandiko haya.
Ila hizi ni kwa walio sawa upstairs
 
Cha kuongezea dhahabu ina umuhimu sana katika anga za hawo viumbe, kama Ozone ilivyo kwetu nao wanahitaji gold kuwalinda kutoka mionzi mikali. Majuwa yao yanatoa X ray, na gamma ray ndio maana wakatutengeneza roboti la biologia, sisi ili tuchimbe dhahabu na tuhifadhi kwenye safe [gold reserve Ya marekani, gold reserve Ya urussi, hata bot ameanza kununua reserve Ya dhahabu]

Siku wakija kuchukua dhahabu zao mataifa ambayo watatoa gawio dogo wataona cha mtema kuni.
 
ISIS the one and only njoo huku madini mazuri sana
 
Unaweza kuwa sahihi kulingana na chanzo chako lakini zote ni Sumeria Manuscript, hivyo endelea kutafiti zaidi utagundua ukweli wa haya majina unayoyakataa
 
Umesahau kitabu Cha THE LOST BOOK OF LORD ENKI
 
Unaweza kuwa sahihi kulingana na chanzo chako lakini zote ni Sumeria Manuscript, hivyo endelea kutafiti zaidi utagundua ukweli wa haya majina unayoyakataa
Majina yapi Mkuu..?
 
Kwahiyo mfungo ndio umesababisha mleta uzi aandike utumbo sio.
 
Umekuja na ID yako nyingine kujitetea sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…