Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

Sawa,...

Na Je, apart from writings, kuna ushahidi wowote wa kuonekana(mfano mabaki ya miili ya hao ANUNAKI &Co's).

Lengo la kuuliza maswali haya ni kujua endapo hizo story ni valid 100%....?
Mabaki ni hizo tablets /manuscripts ambazo zimegunduliwa , ANUNAKI walikuwa wanazikwa kwao NIBIRU sio duniani, wengine walizikwa Sayari ya Mars
 
mu asa anajificha labda hataki tumjue.🤔🤷
 
Mimi nachojua dhahabu ya dunia waliyohitaji kuziba nyufa Huko nibiru walipokuja duniani walichukua asilimia zaidi ya 95 kwa hiyo iliyopo na wanadamu huwa walishamaliza kazi Yao na walifunga vilago vyao vyote na hawatakaa warudi milele
Bot kununua dhahabu ni Jambo liko dunia nzima ni economic back up.zaman walikuwa wananunua dollar saivi dollar inazingia dunia nzima wananunua dhahabu .90% ya Marais hawajawah sikia neno ananuki
 
Tunawahifadhia wametu trick
 
Tunawahifadhia wametu trick
Si kweli nyingi inatumika kwenye jewelry na viwandani Jua hakuna laptop a computer isona dhahabu resever iliyopo duniani hawahihitaji ni ndogo .walipokuja walikuwa na technology kubwa kupitiliza walifanyisha wanadamu kazi hasa kwa miaka zaidi ya 10000 ndo wajenzi wa mapyramid kama ni wali maharage ilobaki ni punje za sahani za kulamba .
 
Tunawahifadhia wametu trick

Unaona dunian 70% ya dhahabu imezagaa ni iko baharini au wamevaa shingoni serikali zote zinayo asilimia 30 na mzigo wa kuchimba ambao geological association ya marekan wanaamin haijachimbwa ni 20% Tu ya yote ilowahi kuwepo duniani .kifupi baada ya Miaka 200 hakutajwa na Mtu anachimba dhahabu..so wanatechnology kubwa usikute walimaliza yote hawatakaa warudi
 
kwanin %90 hawajawahi kusikia neno anunaki?
 
kwanin %90 hawajawahi kusikia neno anunaki?
Ni stori za kusadikika ni mtazamo Tu wa nyaraka za enzi za Giza na ushirikiana za mesopotamia.ni kama stori za samaki mtu
 
Kwa hiyo baada ya kazi yetu ya kuchimba dhahabu kuisha wameamua watuache duniani tunatangatanga...?
 
Nikisoma izo comment umu wengi wanajifanya wajuaji sana na great thinkers but deep inside akili zao ni matope [emoji23][emoji23].

Kama we ni msomi utakua unafahamu kuna vizazi viliishi duniani na kufanya mambo mengi ambayo wanasayansi wa leo bado hawaelewi vilifanyikaje. Vizazi hivyo mpaka leo viko wapi?? Kuna kizazi cha kina canaan mijitu mikubwa ilioishi na kufanya kiburi kwenye ulimwengu leo wako wapi?

Kuna wafalme waliotawala kwenye ulimwengu na walikua na nguvu kubwa hadi kujiita Miungu leo wako wapi.

Nyie fanyeni kiburi kwenye huu ulimwengu kwamba hakuna Mungu ila mjue kwamba mtakufa na baada mauti ndo utajua huyo Mungu yupo au hayupo.

Hii ardhi na mbingu hazikuumbwa ili watu waje wajifanyie tu watakacho.

Hawawi sawa wenye akili na wasio na akili, kama ambavyo hawezi kua sawa kipofu na anaeona.
 
Sawa kabisa, nature inakataa kabisa binadam kua viumbe wa dunian. Maan matendo yetu mengi tunaidhuru dunia, tuko aggressively na viumbe wengi katk hii dunia labda n nitokana na hio ya kupandikizwa kutoka viumbe wa nje ya dunia, uzao huu wa Adam hatuipend dunia tunakata miti ovyo, tunaua wanyam bila hatia, tunaharibu ardhi, maji n.k kwa faida yetu tuu as if kwa hii dunia tuko wenyew..
Huu uzao wa Adam umefany dunia kua sehem ya hovyo san bora walioishi kabla ya hii seeds crossing ya adam, walikua same na nature ya dunia.

NOTE: mtu na binadam ni viumbe wawili tofauti. Mtu kaumbwa na binadam kapandikizwa(chotara) comes from fallen angels and man.
 
Weka Series!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…