Kazi ya bwana tuifanye kwa moyo lakini mmh!!

Kazi ya bwana tuifanye kwa moyo lakini mmh!!

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
ba46911a2e99596205fc27dd6b45da5f.jpg

No church is perfect, Just like any marriage relationship.
Usiniulize kwanini..
 
😀😀😀😀 Nimecheka halafu hata siwezi kutolea maelezo kicheko changu!!! laaaahaaaullaa!
 
Umenifanya nianze kumkagua jirani yangu mchungaji ghafla then...
Ahahahah viatu vyake viko kama vya mzee wa kanisa.
 
Umenifanya nianze kumkagua jirani yangu mchungaji ghafla then...
Ahahahah viatu vyake viko kama vya mzee wa kanisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee wa Kanisa ni MFUNIKO WA KIKOMBE CHA IKULU.
 
Watu wanaovaaga viatu vya sample ya muombaji huwaga ni wabishi!.....ha ha haa
 
Hicho kiatu cha shemasi kitakuwa kilinunuliwa tangu yupo shule ya msingi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom